Jeremiah 17:2

2 aHata watoto wao wanakumbuka madhabahu zao
na nguzo za Ashera,
Ashera ni mungu mke aliyekuwa anaabudiwa na Wakanaani.

kandokando ya miti iliyotanda
na juu ya vilima virefu.
Copyright information for SwhNEN